Wimbo wa Tyla waiinua S.Africa Billboard Hot 100

Wimbo wa Tyla waiinua S.Africa Billboard Hot 100

Wimbo maarufu wa Water wa mwimbaji kutoka South Afrika, Tyla umeanza kuonekana kwenye Billboard Hot 100, baada ya ku-trend kwa wiki kadhaa kupitia mtandao wa TikTok.

‘Water’ ni wimbo wa kwanza wa pekee wa mwanamuziki wa Afrika Kusini kuonekana kwenye ‘chati’ za billboard tangu nguli wa muziki wa jazz Hugh Masekela's Grazing in the Grass miaka 55 iliyopita.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags