Wimbo wa Paund and Dollars waingia kwenye tuzo za Grammy

Wimbo wa Paund and Dollars waingia kwenye tuzo za Grammy

Ikiwa ni mwezi mmoja umepita tangu wimbo wa msanii Diamond, wa Pound & dollars kuachiwa kupitia YouTube channel yake hatimaye, wimbo huo aliomshirikisha mpiga zumari maarufu Wouter Kellerman umetajwa kuwania Tuzo za Grammy 2024 katika kipengele cha ‘Best Africa Music Performance.

Huku ikielezwa kuwa ‘listi’ ya wasanii watakao wania Tuzo hizo mwaka 2024 yanatarajiwa kutangazwa mwezi ujao Novemba,10.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags