Wimbo wa Estelle, Kanye wakimbiza Spotify

Wimbo wa Estelle, Kanye wakimbiza Spotify

Wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Uingereza, Estelle Fanta aliomshirikisha Kanye West wa ‘American Boy’ umefanikiwa kufikisha Streams zaidi ya milioni 700 katika mtandao wa Spotify.

Kwa upande wa Kanye itakuwa ngoma ya kumi kufikisha mafanikio hayo, ‘American boy’ uliachiliwa rasmi mwaka 2008, huku wimbo huo ukichukua Tuzo kadhaa za Grammy ikiwemo, ‘kolabo’ bora na wimbo bora wa mwaka (2008).






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags