Wimbo wa Drake na The Weeknd uliyotengenezwa kwa akili badia wang’ara Grammys

Wimbo wa Drake na The Weeknd uliyotengenezwa kwa akili badia wang’ara Grammys

Hatimaye wimbo ‘Heart On My Sleeve’ uliyotengenezwa kwa akili bandia (AI) ukiwa umemshirikisha mwanamuziki Drake na The Weeknd umewasilishwa kwenye kamati ya Tuzo za Grammys.

Kwa mujibu wa CEO wa Recording Academy, Harvey Mason Jr. akiwa kwenye mahojiano na The New York Times amesema kuwa inakubalika wimbo huo kuingia kwenye vipengele vya kuwania tuzo kwa sababu unakigezo cha kuwa umeandikwa na binadamu hata kama umetengenezwa kwa teknolojia ya akili bandia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags