Whozu: wanasema napendeza kuwa muislamu

Whozu: wanasema napendeza kuwa muislamu

Ooooooooh! Waislamu wenyewe wanasema kuwa dini yao haimkatai mtu niwewe tuu kuichangua basi bwana Staa wa muziki whozu ameweka wazi swala la yeye kubadili dini na kuwa muislamu na amesema kuwa bado hajabadili lakini familia yake na watu wake wa karibu wanasema kuwa anapendezea kuwa muislamu.

Kupitia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari amefunguka na kueleza kuwa “Dini bado sijabadilisha lakini familia inayonizunguka watu wangu wa karibu wanasema dini hii inanipenda sana yaani inanipendezea” amesema Whozu

Aidha aliendelea kwa kueleza kuwa licha ya kutobadilisha dini bali kwasasa anaitwa shekh Walid kwasababu anaitwa Whozu ndo akapewa jina la herufi ya W. ooooh wazee wa komenti embu kujeni tulidadavue hili swala 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags