Whozu amzawadia Tunda gari

Whozu Amzawadia Tunda Gari

Ee bwana mambo yanazidi kunoga huko mitandaoni ambapo hii usiku wa kuamkia leo, msanii Whozu ameamua kumzawadia mpenzi wake Tunda gari mpya.

Whozu amemzawadia Tunda gari hiyo ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu wawili hao wapate mtoto wao wa kike.

Hata hivyo zawadi hiyo ya gari ilisindikizwa na maneno yafuatayo “Something light for my baby Maa Lolla @cappuccino_tunda,” aliandika Whozu

Baada ya maneno hayo ziliibuka shangwe za mashabiki wake ambao wengi wamempongeza Whozu kwa kuona umuhimu wa kumzawadia mpenzi wake gari baada ya kumpatia mtoto.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post