Waziri mkuu atangaza kujiuzulu

Waziri mkuu atangaza kujiuzulu

Taarifa kutoka huko New Zealand ambapo waziri mkuu Jacinda Ardern amesema ataachia Ofisi kabla ya Februari 7, 2023 kwa kuwa anahisi hana nguvu ya kutosha kuendelea kushika Madaraka hayo

Hatahivyo ikumbukwe kuwa Ardern alikuwa Kiongozi wa kwanza mwenye umri mdogo Mwanamke alipoteuliwa kushika nafasi hiyo akiwa na Miaka 37 Mwaka 2017.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags