Watumiaji wa mtandao wa X waanza kulipia

Watumiaji wa mtandao wa X waanza kulipia

Mtandao wa X unaomilikiwa na tajiri Elon Musk, ambayo zamani ilijulikana kama Twitter, imeanza kutoza watumiaji wapya nchini New Zealand na Ufilipino $1 (£0.82) kwa mwaka kama sehemu ya jaribio jipya.

Wale ambao wamejiondoa kwenye ada ya usajili wataweza tu kusoma machapisho, kutazama video ila siyo ku-tweet machapisho na kujibu machapisho.

Akaunti mpya pia zitahitajika kuthibitisha nambari zao za simu, ingawa Musk amesema kuwa bado itakuwa huru kuunda akaunti "za kusoma pekee", ambazo hazina vipengele muhimu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags