Wanamgambo wa ADF waua 17

Wanamgambo wa ADF waua 17

Taarifa kutoka DRC ambapo Mauaji hayo yametokea siku chache tangu Wanamgambo hao kulipua zaidi ya Watu 40 katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo kuna machafuko yanayoendelea

Kundi hilo la Allied Democratic Forces (ADF) limefanya shambulizi Kijiji cha Kirindera  kilichopo Jimbo la Kivu Kaskazini

Sambamba na hayo , watu Wanne wamejeruhiwa katika mashambulizi hayo huku Wanamgambo wanaotumia silaha za moto na mapanga wakichoma moto baadhi ya majengo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags