Wachezaji wa Man United hawana imani na Kocha

Wachezaji wa Man United hawana imani na Kocha

Inadaiwa kuwa nusu ya wachezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, wamepoteza imani na ‘kocha’ wao Erik ten Hag, huku wachezaji wakihoji ufundishaji wake.

Inaelezwa kuwa baadhi ya wachezaji hawafurahishwi na aina ya ufundishaji wake, pia wanahisi wanafanya mazoezi kwa nguvu sana huku wakiwa na sintofahamu juu ya mazoezi hayo.

Hata hivyo baadhi ya wachezaji waandamizi wamejaribu kuzungumza na Erik ten Hag kuhusu mahali wanahisi ‘klabu’ inakosea, waki-share uzoefu wao wa kuchezea vilabu vikubwa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags