Vinicius ashinda tuzo dhidi ya ubaguzi wa rangi

Vinicius ashinda tuzo dhidi ya ubaguzi wa rangi

Mchezaji wa ‘klabu’ ya wa #RealMadrid, #ViniciusJunior ametwaa tuzo ya Socrates kwa mapambano yake dhidi ya ubaguzi wa rangi pamoja na mchango wake wa hisani kwa jamii.

Vinicius ambaye ni mwanzilishi wa taasisi ya #ViniJr ambayo inahusika na maombi ya elimu kwa wanafunzi wasio kuwa na uwezo.

 Ikumbukwe kuwa tuzo hii ilichukuliwa na #SadioMane mwaka 2022 kwa kujitolea kwake kwa jamii ambapo alijitolea katika ujenzi wa hospitali katika kijiji alicho zaliwa huko #Senegal sambamba na kusaidia timu za mpira wa miguu za vijana, haswa kwa wasichana, ili kuwapa fursa sawa ya michezo.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags