Viatu vya Jordan kuuzwa Zaidi ya dola million 2

Viatu vya Jordan kuuzwa Zaidi ya dola million 2

Viatu vya mchezaji maarufu wa kikapu Michael Jordan, Air Jordan XIIIs vilivyovaliwa katika fainali za NBA mwaka 1998 vimeuzwa kwa dola milioni 2.2 

Pea moja ya viatu vya michezo ambavyo vilivaliwa na mchezaji huyo vimeuzwa kwa dola milioni $2.2(£1.7m) katika mnada, vikiwa ndivyo viatu vilivyouzwa kwa bei ya juu zaidi duniani .

Na ikumbukwe tu jezi aliyoivaa katika fainali za NBA ya mwaka 1998 iliuzwa mwaka 2022 kwa thamani ya dola milioni 10.1.

Mauzo ya hivi karibuni yanaonyesha kuwa nafasi ya Jordan ni mwanamichezo mwenye thamani zaidi katika mnada wa mavazi.

Chanzo BBC






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags