Vanessa na Rotimi wapata Mtoto

Vanessa na Rotimi wapata Mtoto

I hope uko pouwa  mtu wangu wa nguvu leo bwana kwenye gumzo mitandaoni mambo ni  pambee tuu , Star wa muziki nchni Tanzania Vanessa Mdee na mpenzi wake Olurotimi Akinisho maarufu kama Rotimi hatimaye wamepata mtoto.

Nikwambie tu kwasasa tayari wawili hao ni Baba na Mama na wamebahatika kupata mtoto wa kiume.

Kupitia kurasa zao Instagram wawili  hao wamethibitisha hilo kwa kuposti picha ya vidole vya mtoto huyo na kuweka wazi jina rasmi la mtoto huyo, ambaye wamemuita  ‘’ Seven Adeoluwa Akinosho’’.

Hatarii bwana tuambie je ni jambo gani ambalo unatamani kuliona kwa mastar hao likifanyika?.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags