Vanessa akanusha kuwa na ujauzito

Vanessa akanusha kuwa na ujauzito

Baada ya kushare video kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuzua gumzo kupitia mitandao ya kijamii kiwa ni mjamzito mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amekanusha taarifa hizo.

Kupitia instastory ya Vanessa amekanusha kuwa na ujauzito kwa kuweka ujumbe akieleza kuwa amenenepa tuu kutokana na kwenda vacation (likizo) mfululizo na kuishi maisha mazuri.

Ikumbukwe kuwa  kwasasa Vanessa Mdee ana watoto wawili ambao amewapata pamoja na mpenzi wake Rotimi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags