Uwoya ataka kwenda Honeymoon sio Fungate

Uwoya ataka kwenda Honeymoon sio Fungate

Moja kati ya stori ambayo imeleta gumzo huko mitandaoni ni kuhusiana na Star wa Filamu nchini Irene Uwoya ameandika ujumbe unasema kwamba anataka Honeymoon na sio fungate.
Sasa bwana kutoka kwenye ukurasa wake wa Instagram ameandika hivi.

"Hivi najiuliza mlivyo funga ndoa na mwenzi wako mlienda honeymoon au fungate?Akuuu mimi nataka honeymoon Fungate hapana " 

Ebwana ee!!  Unaweza kuchangia na kutupa mtazamo wako bwana juu ya hilo hivi kunatofauti kati ya Honey moon na Fungate?

Dondosha comment yako kupitia www.mwananchi scoop .co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags