Uwoya amkumbuka marehemu mumewe

Uwoya amkumbuka marehemu mumewe

Muigizaji mkongwe kutoka nchini #IreneUwoya amevunja ukimya na kueleza kuwa jana ilikuwa ni siku ngumu sana katika maisha yake huku aki-posti picha ya marehemu mumewe mchezaji wa #Rwanda #HamadNdikumana.

Kupitia ukurasa wa #Instagram wa #Uwoya ame-share picha hiyo iliyoambapana na ujumbe ukieleza kuwa jana ni siku ngumu sana kwake kwa sababu ndiyo siku marehemu mumewe na mzazi mwezie amefariki.

#IreneUwoya alitamba kupitia filamu zake mbalimbali ikiwemo Olema , ‘Off side’ , ‘Wake up’ , ‘Bei kali’  na nyinginezo.

Ikumbukwe kuwa Marehemu Hamad Ndikumana alifariki Novemba 15 mwaka 2017.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags