Utafiti: Zabibu zinasaidia kupunguza magonjwa ya moyo

Utafiti: Zabibu zinasaidia kupunguza magonjwa ya moyo

Utafiti uliofanywa na ‘The Journals of Gerontology’ wanasayansi wanaojihusisha na masuala ya uzee, unapendekeza kula matunda aina ya Zabibu mara kwa mara kwa ajili ya kupunguza magonjwa ya moyo, kisukari na kupunguza uwezekano wa kupata mshtuko wa moyo.

Wanasayansi hao wameligundua hilo baada ya kufanya jaribio la miezi sita kwa watu wazima walio na uzito kiasi ambao walitumia zabibu kila siku matokeo yake walionesha afya bora, bila ya kupata viashiria vyovyote vya magonjwa ya moyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post