Kama umezoea kuona paka wafugwao majumbani fahamu kuwa kuna paka wa porini waitwao Kodkod, kwa jina la kisayansi hufahamika kama Leopardus Guigna.
Paka hawa wadogo wa porini wanatajwa kuwa adimu zaidi ulimwenguni, wanapatikana katika misitu ya Chile na Argentina, kawaida wanatajwa kuwa na urefu wa inchi 17 hadi 24. Muonekano wao huwa na manyoya ya rangi ya kaki yenye madoa meusi, muonekano wake hufananishwa na chui.
Leave a Reply