unaikumbuka Yahaya ya Lady Jaydee

unaikumbuka Yahaya ya Lady Jaydee

Uko powa mwanangu sana leo kwenye Throwback Thusday (TBT) tumekuletea mwanadada shupavu na kipenzi cha wengi na huyu si mwingine ni Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee.

Msanii huyo ambae alitikisa zaidi na nyimbo zake kupendwa sana  mwaka 2013 kupitia wimbo wake wa Yahaya katika albamu yake ya “Nothing but the truth”

Leo tunaitazama ngoma yake ya “Yahaya” ambayo ilitamba sana Afrika na Mashariki kwa ujumala, Ngoma hiyo ilitoka katika albamu yake ya Nothing  but  the  truth ambayo ilibamba sana kitaani

Lady Jaydee  kwasasa anatamba kupitia albamu yake ya “Lady Jaydee 20” ambayo aliitoa rasmi february 12,2021 albamu hiyo ambayo iko nyimbo 20

Hayaa sana wadau wa @mwanachiscoop shusha commentbyajo hapo chini utuambie ni mstari gani unaukubali na ulikukosha sana kupitia nyimbo hiii.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags