Tyla amtamani Rema

Tyla amtamani Rema

Mwanamuziki kutoka nchini South Africa, Tayla ambaye anatamba na wimbo wake wa ‘water’ ameweka wazi kuvutiwa kimapenzi na msanii wa Afrobeats Rema.

Kufuatia mahojiano yake aliyoyafanya hivi karibuni Tayla ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kuhusiana na msanii gani maarufu angependa ku-date naye na kumtaja Rema licha ya mrembo huyo kueleza kuwa wawili hao ni marafiki tu.

Tyla ni mwanamuziki chipukizi kutoka Afrika Kusini aliyejulikana kufuatia wimbo wake wa ‘Water’ baada ya kuwavutia wengi kuhusiana na mtindo wake wa uchezaji katika wimbo huo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags