Trossard aondolewa ‘timu’ ya Taifa

Trossard aondolewa ‘timu’ ya Taifa

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Arsenal, LeandroTrossard ameondolewa katika kikosi cha ‘timu’ ya Taifa ya Ubelgiji kinachoenda kushiriki michuano ya kufuzu EURO 2024 kutokana na majeraha ya misuli ya paja.

Leandro Trossard ni majeruhi wa tatu katika ‘klabu’ ya Arsenal ambapo Bukayo Saka na William Saliba nao watalazimika kuwa mapumzikoni kufuatia majeraha yao, hata hivyo mpaka sasa hajajulikana ni kwa muda gani watakuwa nje ya uwanja.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags