Travis Scott kurudi shule

Travis Scott kurudi shule

‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani #TravisScott ameweka wazi kuwa anataka kurudi shule.

Kufuatia mahojiano yake na #GQ, #Travis ameeleza kuwa alitumia njia za mkato kupata mafanikio hivyo kwa sasa anaona ni wakati sahihi wa yeye kurudi shule ambapo ameweka wazi kuwa ameshaanza kufuatilia ratiba ya masomo itakayo mfaa katika Chuo Kikuu cha #Harvard.

Aidha #Travis amedai kuwa endapo atafanikiwa kupata nafasi katika chuo hicho basi atasomea ‘kozi’ ya usanifu majengo.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags