Tori akimbia nyumbani kwake kwa kuhofia usalama wake

Tori akimbia nyumbani kwake kwa kuhofia usalama wake

Muigizaji kutokea nchini Marekani, #ToriSpelling ameripotiwa kuhama nyumbani kwake Los Angeles baada ya kuvamiwa na jirani yake akiwa na bunduki aina ya AR-15.

Tori ambaye alipigwa na taharuki iliomfanya kuiacha nyumba yake na kukimbia na watoto wake.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 50, inaelezwa kuwa yeye na watoto wake wamekimbilia hotelini, na kwa sasa ikidaiwa kuwa anapitia wakati magumu kwa kukosa kifedha ya kujikimu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags