The Weekend na ujio wa albamu mpya

The Weekend na ujio wa albamu mpya

Mwanamuziki kutoka nchini #Canada #TheWeeknd atangaza kutoa albumu yake mpya hivi karibuni ingawa bado hajaweka wazi jina la albumu hiyo.   

The Weeknd amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram na X (Twitter) kwa ku-share Cover za albumu zake mbili ‘After Hours’ & ‘Dawn FM’ na kisha kuweka alama ya kiulizo akimaanisha ipi itafuata.

.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags