Terry Crews akoshwa na Ramadhani Brothers

Terry Crews akoshwa na Ramadhani Brothers

Mwigizaji na mtangazaji maarufu kutoka nchini Marekani amevutiwa na performance ya wanasarakasi kutoka Tanzania Ramadhani Brothers, iliyowapelekea kufika hatua ya ‘fainali’ katika shindano la America’s Got Talent.

Terry amedai kuwa hachoki kuwatazama wanasarakasi hao kutokana na mambo yasiyo ya kawaida wanayofanya, ambayo hata yeye hakuwahi kuyaona kwenye maisha yake yote.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags