Tems awaziba midomo waliosema ni mjamzito

Tems awaziba midomo waliosema ni mjamzito

Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na msanii kutoka chini  Nigeria kudaiwa kuwa na ujauzito wa Future, hatimaye ameendelea kuwaziba midomo na kukanusha uvumi huo baada ya kuonekana akiwa South Afrika katika show akiwa na tumbo la kawaida tofauti na ilivyodaiwa.

 Katika show hiyo ya DStv Delicious International Food and Music Festival, msanii huyo alitoa shukurani kwa mashabiki wa South Africa kwa upendo na mapokezi waliyompatia kupitia mitandao yake ya kijamii.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags