T.I na mkewe washitakiwa kwa unyanyasaji wa kingono

T.I na mkewe washitakiwa kwa unyanyasaji wa kingono

Mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani itwaye #JaneDoe amefungua kesi Mahakamani ya kumshitaki rapper T.I na mkewe #Tiny, kwa kumfanyia unyanyasaji wa kingono tukio lililotokea mwaka 2005.

#JaneDoe alidai kuwa T.I na mkewe walimlewesha pombe kisha ‘rapa’ huyo alimlawiti huku mkewe akiwa anamkandamiza kitandani.

Si T.I tu na mkewe kumekuwa na wimbi la kufungua kesi za unyanyasaji wa kingono nchini Marekani kwa ‘mastaa’ mbalimbali wakiwemo Vin Diesel, Diddy, Cuba na wengineo huku lengo kubwa likiwa ni kudai fidia.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags