Stamina aachia album yake

Stamina aachia album yake

Star Wa HipHop Nchini Staminashorwebwenzi unaambiwa ameamua kuachia rasmi Album yake Mpya ianyotambulika kwa jina la  - PARADISO.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram amethibitisha hilo kwa ku-Share Tracklist pamoja na ujumbe uiosomeka kwa maandishi haya

"Album ya PARADISO imetoka rasmi sasa

Shukrani zangu za dhati ziende kwa wasanii wote ambao nimeshirikiana nao kwenye hii album,producers wote,directors wote na wadau wote tuliopambana kukamilisha hii album." - Stamina

Album Hii Ina Jumla Ya Ngoma 13 Ikiwakutanisha wakali kama Vile Aslay Isihaka, Belle9 na wengineo. 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags