Sonja adai kuwa kwenye mahusiano na mti

Sonja adai kuwa kwenye mahusiano na mti

Mwanamke mmoja kutoka nchini Canada aitwaye Sonja mwenye umri wa miaka 45 amesema kuwa yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mti huo pichani na huwa anapata hisia za kimapenzi akiuona.

Kwa mujibu wa Daily mail Sonja ameweka wazi kuwa alihamia nchini humo mwaka 2020 na kila wiki alikuwa akipita njia iliyo karibu na mti huo ndipo akaanza kupata hisia hizo na kufikia 2021 alianza rasmi mahusiano na mti huo huku akidai kuwa una kila kitu anachokitamani kwa binadamu.

Aidha mwanamke huyo amesema yeye ni ecosexual na kuweka wazi kuw huwa hafanyi tendo la ndoa na mti huo lakini wanapendana sana.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags