Skudu haumwambii kitu kwa Yanga, Ajivunia hatua ya makundi

Skudu haumwambii kitu kwa Yanga, Ajivunia hatua ya makundi

Winga wa ‘klabu’ ya #Yanga, Skudu Makudubela , ameeleza kuwa umoja walionao kama wachezaji wakiwa uwanjani na nje ya uwanja ni kwa sababu ya ‘sapoti’ wanayoipata kutoka kwa viongozi wao pamoja na matamanio ya ‘benchi’ la ufundi ndiyo chachu ya kufanya vizuri na kufanikiwa kwenda hatua ya makundi ya ‘klabu ‘ bingwa Afrika.
 
Ameleza hayo kufatiwa na ‘mechi’ ya marudiano dhidi ya Al Merrikh iliochezwa jana katika uwanja wa Azam Complex, baada ya kutoka na ushindi wa bao 1-0 na Yanga kufuzu hatua ya makundi ya ubingwa Afrika wakiwatoa Al-Merrikh.
 
Skudu ameonesha kufurahishwa akiwa mmoja wa wachezaji katika kikosi hicho walio husika katika kupeleka Yanga hatua ya makundi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags