Simba yamuaga Sakho

Simba yamuaga Sakho

Baada ya kuwepo na sintofahamu kwa mchezaji Pape Sakho, rasmi #SimbaSc wamefikia makubaliano na ‘klabu’ ya Quevilly Rouen Metropole (QRM) ya nchini Ufaransa kumnunua mchezaji wao Sakho.

‘Klabu’ ya Simba bila hiyana imemuaga na kumtakia kila la kheri, Sakho kwenye timu yake mpya, huku mashabiki nao wakitoa shukurani kwa mchezaji huyo na kumtakia safari yenye mafanikio katika majukumu yake mapya.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags