Simba yampa Thank you Robertinho

Simba yampa Thank you Robertinho

‘Klabu’ ya #Simba imechukua maamuzi ya kuvunja mkataba wa aliyekuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘timu’ hiyo Robertinho Oliveira. Vilevile ‘timu’ hiyo imevunja mkataba na ‘kocha’ wa viungo Corneille Hategekimana.

Kupitia ukurasa wa Intagram wa ‘klabu’ hiyo wametoa shukurani kwa ‘makocha’ hao kwa kuitumikia klabu hiyo kwa kipindi chote. Aidha katika kipindi hicho cha mpito kikosi hicho kitakuwa chini ya ‘kocha’ Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags