Simba waichapa Singida Big Star

Simba waichapa Singida Big Star

Simba SC imeibuka na ushindi wa bao 2-1 baada ya mchezo uliochezwa katika uwanja wa CCM Kilumba dhidi ya  Big Stars FC.

 Ambapo bao la kwanza lilifungwa  na Said Ntibanzokiza na la pili kufungwa dakika ya 82 na Jenerali Moses Phiri, ‘mechi’ ambayo imeipelekea Simba kusimama kileleni katika ‘ligi’ kuu ya NBC akifatia Azam akishika nafasi ya pili.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags