Simba wafuzu makundi kwa jasho

Simba wafuzu makundi kwa jasho

Hatimaye ‘klabu’ ya Simba nayo imengia katika hatua ya makundi ya ‘Klabu’ Bingwa Afrika kwa sare ya mabao 3-3 nje ndani dhidi Pwer Daynamos.

Historia imeandikwa Azam Complex Chamazi baada ya ‘timu’ mbili kutoka Tanzania kuingia katika hatua ya makundi ambapo jana ‘klabu’ ya Yanga waliwatoa Al Merreikh na leo Simba kuingia makundi, kwa kutoka sare na wapinzani wao katika kipindi cha pili cha mchezo.

 

Dondosha comment yako juu ya mchezo wa leo?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags