Show yafanya Usher aache pombe

Show yafanya Usher aache pombe

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #UsherRaymond ameamua kuacha matumizi ya Pombe na vinywaji vyenye sukari kwa ajili ya kujiandaa na onesho la ‘Super Bowl Halftime’ litakalofanyika #Allegiant nchini humo mwezi Febuari 11 mwaka huu.

Inaelezwa kuwa msanii huyo mwenye umri wa miaka 45 ameamua kuacha vitu hivyo kwa ajili ya kukonga nyoyo za mashabiki katika onesho hilo alilokuwa akilisubiri kwa zaidi ya miaka kumi.

Mwanamuziki huyo amewahi kufanya nyimbo kama OMG, Good Good, ‘Hey Daddy’, ‘My Boo’, ‘Dientes’, ‘Yeah!’, ‘U got it Bad’, na nyingine nyingi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags