Shilole aweka wazi tetesi za kuwa mjamzito

Shilole Aweka Wazi Tetesi Za Kuwa Mjamzito

Msanii wa muziki nchini Tanzania na mfanyabishara, Shilole maarufu kama Shishi amejibu tetesi zinazoendelea mitandaoni zimhusisha kuwa ni mjamzito.

Shilole amethibitisha kuwa ni kweli yeye ni mjamzito na amesema hivi karibuni ataweka wazi ni wa miezi mingapi.

Shilole ni mwanadada ambaye amekuwa na vituko vingi na mara nyingi amekuwa akisikika akisema hawezi kukaa na jambo moyoni mwake kama linamsumbua lazima atalitoa tu, hivyo tusubiri kuambiuwa ni wa miezi mingapi.
Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Janeth Jovin

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on business, money management on Tuesday and health on Thursday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include KARIA and FASHION.

Latest Post