Shearer aishauri Newcastle kumsajili De Gea

Shearer aishauri Newcastle kumsajili De Gea

Baada ya ‘klabu’ ya #NewcastleUnited kupokea kipigo cha bao 3-1 dhidi ya #NottinghamForest, mchezaji wa zamani wa Newcastle #AlanShearer ameishauri ‘klabu’ hiyo kumsajili kipa wa zamani wa #ManchesterUnited David de Gea katika dirisha dogo.

Mchezo huo ulipigwa siku ya Jumanne ambapo matokeo hayo yamewafanya Newcastle wabaki na pointi saba huku ‘klabu’ ya #TottenhamHotspur wakiwa nafasi ya nne.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags