Shakira hataki kuolewa tena

Shakira hataki kuolewa tena

Mwanamuziki kutoka nchini Colombia #Shakira baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu #GeralgPique amedai kuwa hatojihusisha na mahusiano wala kuolewa tena.

Msanii huyo amedai kuwa mahusiano yake na Gerlad yamemfanya aumize moyo wake vibaya na ameahidi kuwa hatalipiza kisasi kwa kumuongelea kwenye nyimbo zake kama ambavyo aliwahi kufanya kipindi cha nyuma.

Wawili hao wamedumu katika mahusiano kwa miaka 15 na kubahatika kupata watoto wawili baada ya kukutana mwaka 2010.
.
.
.
#MwananchiSCoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags