Shakira akwepa kwenda jela, akubali kulipa faini

Shakira akwepa kwenda jela, akubali kulipa faini

Mwanamuziki kutoka #Colombia, #Shakira amefanya makubaliano na waendesha mashitaka kutoka nchini Hispania kumaliza kesi ya kukwepa kulipa kodi.

Msanii huyo anakabiliwa na shauri lililofikishwa katika mahakama ya #Barcelona la kukwepa kulipa kodi nchini humo, hivyo waendesha mashitaka walimtaka kuchagua kulipa faini au kwenda jela miaka nane.

Shakira mbele ya hakimu José Manuel del Amo, siku ya jana Jumatatu alikubali makosa yake sita ya kukwepa kulipa kodi kwa mwaka 2012-2014 na kukubali kulipa faini Euro milioni 7.5.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags