Penzi likiwa la masharti linanifanya niwe mento
Penzi lako la mgao utafikiri Tanesco,
Sideti na vivlana nadate na wanaume wanaojitambua zaidi ya Neto,
Mimi sio shirika la misaada kawatafute UNESCO
katafute Pakuseto
Kajitibu michecheto
Maneno mengi shughuli huna wewe sunche na kapeto
Am not like other,
Ingekuwa penzi langu shule bro usingeimudu ada,
Nikihesabu maex husomeki hata kwenye rada,
Penzi langu ni takatifu utafikiri ibada,
Kidali kombolela kibaba baba wewe ulikuwa unawekwa uwege mtoto,
Ndio maana thermometer yako haifikishagi joto,
Ur not smart upstairs ur not skilled downstairs kifupi ur stairs are not worth wangu muda,
Hazijafika dakika mbili na hizo ndo dakika zake kitandani huyu Buda.
LIMETUNGWA NA MR.ROMANTIC
Mitandao ya kijamii @mrromantic77
Mawasiliano +255784895101
Leave a Reply