Shabani Kaoneka alia na Mandonga kutembelea nyota yake

Shabani Kaoneka alia na Mandonga kutembelea nyota yake

Duuuuuuuh! Katika jambo la kuskitisha bwana yule bondia alieshinda katika mpambano ulifanyika hivi karibuni, Shabani Kaoneka ameamua kufunguka mazito baada ya kuona watu wengi kumzungumzia sana mtu ambae ameshindwa kwenye pambano hilo ambae ni Karim Mandonga kuwa gumzo kuliko hata yeye.

Kaoneka kupitia mahojiano yake jana kwenye simba day alifunguka na kusema kuwa “Mandonga mnamfanyia surprise nyingi mnamuita njoo sehemu hii njoo sehemu hii, mimi nilieshinda nakuwa maskini aliepigwa anakuwa tajiri mimi najiskiaje” amesema Shabani Kaoneka

Mmmmmmmmmh! Ila ameongea ya kweli kabisa mana Mandonga ndo habari ya mjini hata mwenye pambano mwenyewe hajahit hivi duuuuuh una jambo gani la kumshauri bondia huyu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags