Serikali Austria yatoa ofa usafiri bure kwa wenye ‘tattoo’

Serikali Austria yatoa ofa usafiri bure kwa wenye ‘tattoo’

Serikali nchini Austria imesema itatoa ofa ya usafiri wa treni bure kwa mwaka mzima kwa watu watakaochora ‘tattoo’ yenye jina la ‘Klimaticket’ ambalo ni kampeni ya kuhamasisha usafiri wa umma nchini humo.

Mpango huo umeungwa mkono na baadhi ya wanasiasa huku wengi wakiukosoa katika mitandao yao ya kijamii.

Serikali imefanya hivyo huku ikiwalenga zaidi wahudhuriaji wa matamasha mbalimbali nchini humo hasa wakati huu ambapo gharama ya usafiri imekuwa kubwa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags