Sanaa, Burudani zaongoza kwa ukuaji 2023

Sanaa, Burudani zaongoza kwa ukuaji 2023

Mwaka 2023, sekta ya sanaa na burudani iliongoza kwa kuwa na ukuaji wa asilimia 17.7.

Hayo yamo katika taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023 iliyowasilishwa bungeni leo Juni 13, 2024.

Sekta ya fedha na bima inafuata ikiwa na asilimia 12.2, madini asilimia 11.3, malazi na huduma za chakula asilimia 8.3, na habari na mawasiliano asilimia 7.6.

Taarifa inaeleza shughuli ya kilimo iliongoza kwa kuwa na mchango mkubwa kwenye Pato la Taifa kwa asilimia 26.5 ikifuatiwa na ujenzi asilimia 13.2, madini asilimia 9.0 na biashara na matengenezo asilimia 8.3.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags