Salim ndani ya mkutano wa FIFA,  Australia

Salim ndani ya mkutano wa FIFA, Australia

Baada ya Mwenyekiti wa ‘Bodi’ ‘Klabu’ ya Simba Salim Tryagain kupiga picha na Rais wa FIFA, leo tena mwenyekiti huyo ame-share picha nyingine akiwa katika mkutano wa FIFA huku ikimbatana na ujumbe ukieleza kuwa.

“Leo nimehudhuria mkutano maalum wa FIFA Women’s Football Convention 2023 hapa Sydney, Australia. Mkutano huu umehudhuriwa na viongozi wa FIFA, marais na makatibu wa mashirikisho ya mpira duniani, wachezaji na makocha wakongwe wa FIFA (FIFA Legends), marefa na wadau wakubwa wa mpira duniani”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags