Rushaynah: Story mnazosikia kutoka kwa ex wangu sio za kweli

Rushaynah: Story mnazosikia kutoka kwa ex wangu sio za kweli

Akizungimza na vyombo vya habari nchini, aliyekuwa Ex wa #HajjiManara, #Rushaynah ameeleza kuwa kumuongelea Ex wako Kwa vibaya kwa watu wengine sio sawa.

Aidha mwadada huyo amesema kuwa yeye Ex wake akimuongelea vibaya nisawa, na hana muda wa kujibishana naye kutoka na kudai kuwa karibia ya stori zake mbaya watu wanazozisikia kutoka kwa Ex wake sio za ukweli ila ana kuwaga hana muda wa kubishana naye.

Anaeleza kuwa japo kuna muda anatamani ajibishane na Ex lakini anaona hayana maana anaendelea na mambo mengine.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags