Rosa ree afunguka kumlea mtoto wake mwenyewe

Rosa ree afunguka kumlea mtoto wake mwenyewe

Mwanamuziki wa Hip-hop nchini #RosaRee amedai kuwa kuna muda anakuwa kama baba kwa mtoto wake, akimlea mwenyewe na kumsimamia japo ni ngumu kuwa baba.

Akizungumza na moja ya chombo cha habari nchini mwanamuziki huyo ameeleza kuna muda anatakiwa kuwa na nafasi zote kwa mtoto wake japo ni ngumu lakini inambidi kufanya hivyo.

Rosa ameeleza kuwa nafasi ya mwanaume ni nzito na inahitajika sana kwa mtoto na hakuna mwanamke ambaye anaamua kulea mtoto peke yake lakini ikibidi hakuna namna lazima uwe jasiri kuliko awali.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post