Rick Ross atafuta mfanyakazi

Rick Ross atafuta mfanyakazi

‘Rapa’ na mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Marekani, Rick Ross ametangaza kutoa nafasi ya kazi katika ndege yake binafsi kwenye upande wa muhudumu.

Rick ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kueleza kuwa anatafuta muhudumu wa ndege atamlipa kiasi cha dola115k ambazo ni zaidi ya tsh 200 milioni kwa mwaka.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags