Rick Ross apiga tizi kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro

Rick Ross apiga tizi kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro

Mkali wa hip-hop kutoka nchini Marekani Rick Ross ameendela kufanya 'tizi' kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro mwaka 2024.

Rick amekuwa akifanya mazoezi ya kupungua mwili na kubadilisha lishe yake kwa lengo la kujipanga kupanda mlima Kilimanjaro mwakani.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags