Rick Ross aonesha ufunguo wake wa Milioni 58

Rick Ross aonesha ufunguo wake wa Milioni 58

Msanii wa hip hop kutokea pande wa Marekani, Rick Ross ameonesha ufunguo wake wa almasi wenye thamani ya Sh, Milioni 58 za kitanzania.

Rick Ross amesema kuwa atatoa funguo tatu kati ya hizo ambazo pia zinaweza kuvaliwa kama cheni, kwenye onesho lake la magari linalotarajiwa kufanyika Mei 21, mwaka huu.

Hiyo ni habari iliyotrend katika mitandao ya kijamii nchini wengi wakihoji kwa nini ameamua kutengeneza funguo hiyo yenye gharama kubwa kiasi hicho.

Basi msomaji wetu kama na wewe unacomment yeyote kuhusiana na stori hii usisite kutuandika pale kwenye ukurasa wetu wa Instagram ambao ni @mwananchiscoop.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags