Rick Ross amtolea povu Jada Smith

Rick Ross amtolea povu Jada Smith

‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani#RickRoss amedai kuwa amechoshwa na muigizaji #JadaSmith kutokana na kufichua maisha yake binafsi huku akimtaka mrembo huyo kutafuta mwanasaikolijia.

Kufuatia mahojiano yake ya hivi karibuni na #RollingStone#Ross ameeleza kuwa hakubaliani na #Jada, kwake anaona kama ni kujidhalilisha, akidai kuwa saikolojia ya mwanadada huyo haiko sawa anahitaji matibabu.

#JadaSmith alishika vichwa vya habari nchini humo baada ya kufichua siri ya kuachana na mumewe #WillSmith miaka 6 iliyopita.
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags